makamu wa rais mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makamu wa Rais Dkt. Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi mzuri na utejelezaji wa miradi ya maji nchini

    DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mhe...
  2. Dkt. Mpango ataka msukumo utolewe kwa Vijiji na Vitongoji visivyo na umeme

    Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ambaye yupo katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Kigoma, ameiagiza Wizara ya Nishati kuhakikisha kuwa inatoa msukumo wa upatikanaji umeme kwa vijiji na vitongoji ambavyo bado havijafikiwa na huduma hiyo. Dkt Mpango ameyasema hayo Julai 9...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…