Makamu wa Rais wa Ufilipino, Sara Duterte, ameondolewa madarakani kwa tuhuma kadhaa, zikiwemo kupanga kumuua Rais wa nchi hiyo, ufisadi wa kiwango kikubwa, na kushindwa kulaani vikali hatua za kichokozi za China dhidi ya vikosi vya Ufilipino katika eneo linalogombaniwa la Bahari ya Kusini ya...