Wakuu,
Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma!
Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya.
Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?