makande

Sciurocheirus makandensis (Makandé squirrel galago) is a species of squirrel galago native to Gabon, Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    Tupike makande

    Hope mpo Vyedi kabisa Jana nilikuwa na hamu ya makande nikaamua kuyachemsha jana usiku wakat naangalia tv nikawasha jiko la mkaa nikaweka makande yakawa yanaiva pole pole mda wa kulala ulipofika nikajaza maji ya kutosha nikasepa Leo nimerudi zangu nikaanza maandalizi yangu yangu Nika andaa...
  2. Yoda

    Kwanini makande hayapatikani sehemu za kuuza vyakula?

    Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa. Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
  3. DR SANTOS

    Kala makande na konyagi anaanza kusumbua watu usiku

    Kuna vitu vinachekesha sana usiku wa kuamkia Leo nimekuja kugongewa na jirani yangu mlango akidai Kuna shida nyumbani kwake, kaka yake anatapika mfululizo. Ikabidi chap chap niamke kwenda nyumbani kwake mida ya saa namkuta jamaa nje katapika makande yaani punje nzima nzima nahisi ata alikua...
  4. Last emperor

    Simba sasa hivi inacheza mpira makande

    Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu! Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo...
  5. sinajinasasa

    Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

    Yaani ukioa mpare utalishwa makande hadi ukome, yaani imekuwa kama ndo chakula kikuu sijui ndo uvivu wa kupika? Halafu mzigo unapikwa wa maana mtakula hata siku mbili, unampa hela za matumizi za kutosha lakini makande sasa ishakuwa tabu. Kuna nini kwenye makande. Hapa naambiwa mme wangu...
  6. Nyendo

    Chakula gani hujala muda mrefu?

    Habari wadau, Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto. Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga. Wewe umekumbuka chakula gani?
Back
Top Bottom