Ni kweli ukiwa na matatizo unakuwa na hali ya kitanga tanga sana ili upate msaada.
Bawasili ni uvimbe unaotokea ktk njia za haja kubwa kutokana na kuvimba kwa mirija ya damu inaopeleka damu sehemu hizo.
Mishipa hii ni matawi ya mirija mikubwa kutoka tumboni. Mishipa hiyo ni Superior Mesentary...
Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao.
Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake...
"Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo...
Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu.
Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Soma pia: Kufungiwa kwa...
Kwema wakuu,
Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko.
Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku wakiwa hawafanyi Kazi yoyote ya Kujiingizia Kipato au ya Kujenga nchi.
Kama Serikali watakubaliana...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
Wasalaam,
Nimechagua hawa maana ndio wanavuguvugu kubwa la kuliishi neno. Sina uzoefu na RC au KKKT lakini makanisa ya kisabato na kilokole mengi nimeingia.
Tofauti na wale wakristo wa awali, Njia ya kuelekea hekaluni ilikuwa imejaa ombaomba. Hawa jamaa walikuwa wanamvizaga Yesu, mitume...
Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga.
Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka.
Hebu mwangalie
Pastor Mgogo,
Yule mzee Majumbasita,
Mashimo,
Geo David Wa Arusha
Kuna mmoja hivi ni comedian,
Masanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.