Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango
Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach iliyofanyika katika kanisa hilo Sakina mkoani Arusha amegusia...
Muinjilisti na Msomi wa dini bwana Sylvanus Ngemera amesema anatarajia kuasisi Dini Mpya ya kikristo yenye msingi wa utamaduni na mila za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara itakayoutwa "African Orthodox Derekh Church" Ili kuachana na Ukristo wa Mzungu ambao umejikita kutetea utamaduni wa mzungu...
Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu.
Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku wakiwa hawafanyi Kazi yoyote ya Kujiingizia Kipato au ya Kujenga nchi.
Kama Serikali watakubaliana...