Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.
Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.
Wadau hao wa...
Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze...
UTANGULIZI:
Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.
Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii.
Ifakara iko kijanja zaidi.
Ni hayo tu
Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi.
Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile...
Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini.
Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake.
Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi.
Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..
Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
freeman mbowe
makaomakaomakuu
mayemba
mbowe
mbwa
mkoa
mwenyekiti wa chadema
njombe
ofisi za chadema
rose
rose mayemba
rushwa
uchaguzi
uchaguzi 2025
walinzi
Utangulizi
Katika kipindi ambacho Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi, mawazo na hisia mbalimbali zinatawala miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa.
Miongoni mwa wagombea wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ni Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa.
Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda.
Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili...
Ubalozi wa Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Kituo cha Kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) wameandaa na kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh yaani (the international conversation and...
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
----
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anazungumza na Watanzania muda huu kutoka makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huu muhimu, Mbowe anatarajiwa kuzungumzia masuala ya kisiasa, hali ya chama, na mustakabali wa taifa...
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya
Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi...
Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998
Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history.
Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
Kama Hayati Magufuli angekuwa hai mpaka keo,hyenda Chato ingeshakuwa mkoa unaojitegemea
Kama tunavyofahamu hulka yake wala asingesubiri vikao vya wadau kutoa maoendekezo,angeamka asubuhi na kutangaza oresidential decree kuwa Chato ni mkoa.
Baada ya kufariki hiyo ndoto ya Chato kuwa mkoa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama
Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama
Hawaruhusiwa kuja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.