makao

Macau or Macao (English: (listen); Portuguese: [mɐˈkaw]; Chinese: 澳門; Cantonese: [ōu.mǔːn]), officially the Macao Special Administrative Region of the People's Republic of China (MSAR), is a city and special administrative region of China in the western Pearl River Delta by the South China Sea. With a population of about 680,000 and an area of 32.9 km2 (12.7 sq mi), it is the most densely populated region in the world.
Formerly a Portuguese colony, the territory of Portuguese Macau was first leased to Portugal as a trading post by the Ming dynasty in 1557. Portugal paid an annual rent and administered the territory under Chinese sovereignty until 1887. Portugal later gained perpetual colonial rights in the Sino-Portuguese Treaty of Peking. The colony remained under Portuguese rule until 1999, when it was transferred to China. Macau is a special administrative region of China, which maintains separate governing and economic systems from those of mainland China under the principle of "one country, two systems". The unique blend of Portuguese and Chinese architecture in the city's historic centre led to its inscription on the UNESCO World Heritage List in 2005.Originally a sparsely populated collection of coastal islands, Macau, often referred to as the "Las Vegas of the East", has become a major resort city and a top destination for gambling tourism, with a gambling industry seven times larger than that of Las Vegas. The city has one of the highest per capita incomes in the world, and its GDP per capita by purchasing power parity is one of the highest in the world. It has a very high Human Development Index, as calculated by the Macau government, and the fourth-highest life expectancy in the world. The territory is highly urbanised; two-thirds of the total land area is built on land reclaimed from the sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanachadema walalamika kutoshirikishwa kabla ya viongozi makao makuu kutoa kauli ya "no reform, no election", wasema demokrasia imesiginwa

    Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao. Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha. Wadau hao wa...
  2. Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
  3. Ifakara ndio mji wa wajanja. Wezi wa TUMA kwenye Namba hii makao makuu yao Ifakara. Ifakara ni noma sana

    Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii. Ifakara iko kijanja zaidi. Ni hayo tu
  4. K

    Makao makuu ya Tz ni Dar es salaam kiuhalisia... Ila Dodoma ni makao makuu Kwa nadharia tu

    Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
  5. TANZIA SACP Beatus Silla wa Polisi Makao Makuu hatunae tena

    Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi wakionyesha kufurahishwa na kifo hiki cha Askari wa Polisi. Nawaomba Polisi, tuangalie sana mwisho wetu vile...
  6. Umoja wa mataifa, watangaza kuwa M23 inakaribia Bukavu, makao makuu ya Kivu kusini

    Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini. Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
  7. Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

    Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake. Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi. Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
  8. Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

    https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki... Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA.. Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na...
  9. Iwapo Lissu atashinda Uchaguzi, Makao Makuu ya CHADEMA yatahamishiwa Ubelgiji?

    Utangulizi Katika kipindi ambacho Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi, mawazo na hisia mbalimbali zinatawala miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa. Miongoni mwa wagombea wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ni Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  10. Afisa wa Makao makuu CHADEMA atoa siri nzito za J.Mnyika na F.Mbowe kumbe CHADEMA kushika dola chini ya Mbowe ni ndoto

    Anaandika Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu. === Mjumbe Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na wanachama wote nawasalimu kwa salaamu ya Chama. Bila kukupotezea Muda naomba kukushirikisha kauli nzito na muhimu kwa wakati huu iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama Taifa. Ilikuwa...
  11. Z

    Nashauri Makonda ahamishiwe Dodoma ili Makao Makuu yachangamke

    Heri ya mwaka mpya 2025. Kwa muda mfupi tumeshuhudia jinsi RC Makonda alivyo waunganisha wa chuga na kufurahia maisha kwa pamoja. Wamepokea mwaka 2025 kwa shangwe kubwa. Hakika Arusha kumechangamka kwa ubunifu wa RC Makonda. Nashauri kama itafaa, RC Makonda ahamishiwe Makao Makuu Dodoma ili...
  12. H

    Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh (the international conversation and exhibiti

    Ubalozi wa Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Kituo cha Kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) wameandaa na kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh yaani (the international conversation and...
  13. Hizi habari kwamba Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti wa chadema atafukuza viongozi wote wa chama makao makuu na mikoani zina ukweli?

    Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe. Hizi habari ni za kweli? Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema...
  14. Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

    Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani. Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe. Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu? ---- Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
  15. Pre GE2025 Kwa nini Lissu amedhamiria kuwafukuza John Mrema na wenzake pale makao makuu ya Chadema? anamsaidia Msigwa kulipa kisasi?

    Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu. Tetesi zinasema sababu kubwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake Msigwa ambaye wakati wa uchaguzi wa Kanda alisikika akitoa milio ya...
  16. LGE2024 Mapokezi ya Mbowe Kijiji cha Ndato, hakika Makao Makuu ya CHADEMA yawe Mbeya. Kumbe Chadema haijafa

    Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya kuchangamana na kubadilishana mawazo kwa Wananchi. Mikutano kama hii inaleta furaha na umoja kwa wananchi...
  17. Vodacom wamenifanyia unyama, kesho naenda makao makuu na mwanasheria wangu.

    Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998 Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history. Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
  18. U

    News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama Hawaruhusiwa kuja na...
  19. R

    Jeshi la Israel limesema limefanya shambulizi kwenye makao makuu ya kijasusi ya Hezbollah

    Siku ya Leo jeshi la Israel lashambuliwa makao makuu ya ujasusi ya Hezbollah ya ujasusi, pia sehemuilikuwa ina sehemu ya kutengenezea mabomu chini ya ardhi. Jeshi la Israel limesema limefanya shambulizi kwenye makao makuu ya kijasusi ya Hezbollahkatika mji mkuu wa Lebanon, Beirut...
  20. M

    Pongezi kwa RC Makonda kuboresha makao makuu ya polisi Arusha

    Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe. Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC) Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha. Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…