Salaam katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mheshimiwa Rais naomba nikujulishe kuwa ile pesa Milioni kumi na sita (16,000,000/=) ulizotoa kwa kila Wilaya Kwa Makatibu Tawala ili wanunue FANICHA katika Nyumba wanazoishi wengi wao hawajanunua Fanicha kama lengo la fedha hizo lilivyo na...