Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM.
Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni;
1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM
2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi
3. Ado Shaibu ACT Wazalendo
4. Ahmad...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu Tathmini ya Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoadhimishwa Jijini Dar es Salaam Aprili 26, 2024 pamoja na...
Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Kamati ya Utatu ya Makatibu Wakuu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amewateua wafuatao:-
i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).
ii) Amemteua...
Mkutano wa Kamati ya Kudumu ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika ( SADC) umefunguliwa leo tarehe 13 March 2023 jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambapo ujumbe wa Tanzania unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha, leo tarehe 04 Machi, 2023
RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA
Yapo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha leo tarehe 02 Machi, 2023
RAIS SAMIA
“Kutofanyika kwa...
Wakuu
KIFO ndio fumbo pekee ambalo wanadamu tunaogopa. Watu hawaogopi tena kifungo cha Maisha jela wala faini zinazolipika.
ILI kuongeza tija kiutendaji na kuepuka ubadhirifu, wizi na UFISADI katika wizara mbalimbali nchini,ipo haja ya kuteua kada ambayo itakula kiapo cha KIFO!kabla ya...
Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao ni wabunge wenzao. Ukweli ni kwamba mawaziri wote wa serikali ya rais Samia wanashindana kuiba pesa...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania imewataka viongozi 658 waliochaguliwa kwa ajili ya uhakiki, kufanya maandalizi ya uhakiki huo.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 2, 2022 na Kamishna wa Maadili Jaji Mstaafu Sivangilwa Mwangesi wakati akizungumzia kuhusiana na...
Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu.
Katika uteuzi wa...
Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu
1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia
2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa
Ni mtazamo wangu tu
Aliyekuwa Mkurungezi wa Azam tv ameteuliwa kuwa Mkurungezi wa Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.