Inaumiza sana wakati mwananchi akitumitumia muhamala kupitia simbanking ya airtel unakatwa shillingi 100.
Mara nyingi mtandao unaweza kugoma au umekosea lakini unapotaka kurudia makato ni shillingi 100 kila shughuli utakayofanya.
Naomba Serikali iliangalie suala hili na wananchi tunaumia...
Leo nimetoa Tshs 575,000 kupitia mtandao wa Airtel na nimeshanga kukatwa Tshs.8,000. Ndugu zangu Serikali iko wapi tunaibiwa mchana kweupe. Nimesikitika sana na makato hayo. Serikali chukueni hatua stahiki haya Makampuni yanatuibia sana.