Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00
Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala unakatwa shilingi 381 + vat shilingi 65.58, jumla ya shilingi 450,
Ninaumia sana siwezi kuangalia hata...