makato miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba: Serikali imeanza kuondoa makato ya miamala

    Wakuu, Akizungumza katika kumbukizi hiyo waziri wa fedha Dkt mwigulu nchemba amesema kwa sasa serikali imeanza kuchukua hatua ya kuondoa baadhi ya makato ya miamala unapolipia huduma kwa njia za dijitali ili kuwezesha watanzania wengi kufanya malipo ya kidijitali "Sisi kama Serikali...
  2. M

    Vodacom rekebisheni menu yenu ya Mpesa kwenye kutuma pesa mitandao mengine

    Mteja sio panya mpaka muwaekee mtego kama ule wa makusudi kabisa kwahiyo mmeamua kuuza vocha kwa lazma? Je hamuoni kama huo ni wizi yanI mnamtega mteja anunue vocha badala ya kutuma hela, naomba muitoe option ya kutuma kama vocha kwenye sehemu ya kutuma hela haraka sana sawa tunakubali sisi ni...
  3. Trubarg

    KERO Makato ya M-PESA MasterCard ni kufuru

    Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani (62,000). Exchange rate ya 3647. Jana hiii rate wametoa BOT au wapi. He BOT hawaoni kuna haja ya...
  4. N

    Ndoa kati ya Kampuni za Mawasiliano na Serikali kuhusu tozo ni kichomi kwa Wananchi

    Ndoa kati ya kampuni za mitandao ya simu na serikali inayohusu tozo kwenye miamala mbalimbali inayofanywa kwa njia ya simu, pamoja na ndoa kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) zimekuwa ni ndoa kichomi kwa wananchi kutokana na mlundikano wa kodi...
  5. Memento

    Waziri Ummy Mwalimu kwa hili la makato ya miamala jitafakari, hautoshi tena

    Nimemsikiliza kwa makini sana Waziri Ummy Mwalimu akipigia chapuo makato ya miamala na kusema tutaenda kujenga shule, mara barabara za vijijini mara sijui hospitali. Ummy ameyazungumza haya saa chache tu kabla ya Raisi Mama Samia kuingilia Kati. Hivyo sasa hivi Waziri Ummy atabadili tena gia...
Back
Top Bottom