Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani (62,000). Exchange rate ya 3647.
Jana hiii rate wametoa BOT au wapi. He BOT hawaoni kuna haja ya...