Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho nikawaomba tuahilishe zoezi la mkopo na tukakubaliana.
Ajabu ni kuwa kumbe Mwajili aliidhinisha...