Uzi uwe mfipi kabisa.
Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu kimya kimya.
Umeme wa elfu3 unakatwa TSH 90, Umeme wa elf 5 unakatwa TSH 100.
Umeme wa elf 1 unakatwa...
Nimejaribu kununua umeme Leo wa TSH 5000 naambiwa nadaiwa deni kubwa kuzidi hiyo pesa siwezi pewa tokeni
Na mwezi uliopita nimenunua wamekata pesa yao ya jengo 1500.
Nimepiga huduma kwa wateja naambiwa nadaiwa deni la MIEZI 12 sawa na Tsh. 18,000 hivyo ni nunue wa elfu 20. Mita yenyewe haina...
Anonymous
Thread
kodi ya jengo
madeni yalukumakatoyaluku
mamlaka ya mapato tanzania
property tax
tanesco
tra na makapo ya kodi ya majengo
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi...
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa.
Mhe. Makamba amesema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa ngazi ya Kanda, Mikoa, Wilaya...
Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%.
Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.