Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la.
Annually Gross salary...