makazi ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Vituo vya mafuta vinajengwa kiholela sana, hasa kwenye makazi ya watu

    Ukipita njia ya Vingunguti, Tabata, Tandale na maeneo mengine kumekuepo na ongezeko kubwa sanaa la vituo vya mafuta. Je, tathimini imefanyika vya kutosha kabla ya kutoa vibali? Je, tunasubiri maafa yatokee ndio tuunde tume?
  2. Teko Modise

    Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

    Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
  3. Mkalukungone mwamba

    KERO Tabora: Wakazi wa kidongo Chekundu wahofia watoto kufa maji na nyumba kubomboka baada mtaro wa maji unaopita pembezoni makazi yao kuongezeka kina

    Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro wa maji unaopita pembezoni mwa shule hiyo na makazi yao kuongezeka kina na upana hali inayo...
  4. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  5. G

    Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  6. mdukuzi

    Wakazi wa kata ya Zuzu Dodoma kuandamaba wabadilishiwe jina la kata yao

    Duniani kuna mamboz,wakazi wa kata ya Zuzu iliyopo Manispaa ya Dodoma wanakusudia kuandamana kumshinimiza waziri wa TAMISEMI abadiil jina la kata yao. Hii si mara ya kwanza kuomba kubadilishiwa jina,waliwahi kufanya hivyo wakagonga mwamba,waziri TAMISEMI kipindi hicho aliwaambia Rais hajaridhia...
  7. BigTall

    KERO Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo hasa maeneo ya Mivumoni na Marobo (Tegeta) pamoja na Kinzudi

    Maeneo ya Kinzudi Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira. Walianza kwenye viwanja vilivyo mabondeni, makazi ya watu na sasa wanamwaga kwenye mito iliyochimbika baada ya mvua kukatika. Adha, hii...
  8. Antivirus

    KERO Mwekezaji achimba mchanga karibu na makazi ya watu na kuharibu miundombinu ya barabara - Kitopeni Bagamoyo Pwani

    Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA. Eneo hili lipo karibu kabisa na MAKAZI ya watu hivyo ni hatarishi wakati wa mvua na kupelekea mafuriko hapo baadae...
  9. Shark

    Kwako Waziri Silaa, vituo vilivyopo kwemye makazi ya watu siyo Mikocheni tu

    Za maandalizi ya Sikukuu wakuu? Tufurahi na Sikukuu lakini tukumbuke Kuna January pia. Ningependa kumpa Ujumbe Bwana Jerry Silaa, Waziri wa Ardhi kua vituo vingi vinaendelea kujengwa maeneo ya Makazi na labda anaweza kuviwahi na hivyo. Kuna kituo kingine cha hawa hawa Barrel kiko Kijitonyama...
  10. beth

    Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii? Nakumbuka...
  11. M

    Historia ya Israel kupiga hospitali, shule na makazi ya watu na kukanusha kisha ukweli kudhihirika

    Israel imefanya mauaji ya kutisha huko Gaza kwa kulipua hospitali ya kanisa inayotoa msaada kwa wapalestina huko Gaza. Mwanzoni aliyewahi kuwa msaidizi wa Netanyahu katika mambo ya Media akatweet kulipongeza jeshi la Israel kwa kupiga hiyo hospitali na kuua watu ambao yeye anasema ni maadui wa...
  12. Roving Journalist

    Simiyu: Baada ya kulalamika Dampo la Kidinda kwenye makazi ya watu, tangazo latolewa, kifaa cha kuhifadhi taka chawekwa

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoka Simiyu kudai kuwa Wananchi wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Bariadi wako katika wakati mgumu kutokana na harufu kali na chafu inayotoka kwenye jalala ambalo pia limetawaliwa na moshi mwingi kutokanana uchomaji taka unaofanyika kila siku...
  13. Lord denning

    Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

    Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana. Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais...
  14. EINSTEIN112

    Kumbe Urusi ililenga silaha za NATO zilizohifadhiwa karibu na makazi ya watu? Nani alaumiwe hapa

    Kikosi cha Wanaanga cha Urusi kilianzisha shambulizi la anga la "usahihi wa hali ya juu" dhidi ya hifadhi za ndege za Ukraine zilizokuwa na silaha na risasi katika eneo la kati la Poltava siku ya Jumatatu, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema jana (Jumanne). Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya...
  15. Linguistic

    NEMC kuchukua hatua kali dhidi ya nyumba za ibada na sehemu za starehe zinazopiga kelele kwenye makazi ya watu

    Ila KUNA MAKANISA YAPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU. Yaani unakuta kanisa lipo kati kati ya nyumba za watu, Sasa bana ikifika ijumaa hadi jumapili inabidi muhame kwanza maana siyo kwa mziki huo, na hii sio mara ya kwanza kwa wao kutoa tamko kama hili Pia soma: NEMC kufanya msako wa wanaopiga...
  16. chizcom

    Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

    Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba. Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi. Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro. Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa...
Back
Top Bottom