Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha.
Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
Wakuu,
Kuna huyu mtumishi hapa kaandaa maombi kwa watumishi wa umma ili waweze "Kudumu kwenye nafasi zao" eti katikati ya vita.
Tayari hapa ameshawaandaa kisaikolojia kuwa kazini kwako kuna mtu/watu wanakuwekea kauzibe, kuna watu wanakuroga, kuna watu wanakuwekea mavitu sehemu yako safari...
Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!?
Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea mahabusu aliishtukia kipindi kile!!?
Wajuvi mje mjazie nyama hapa!
Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote.
Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na
wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa,
1.Usipende kutamani...
Rejea kichwa Cha habari hapo juu
Kuna rafiki zangu wamrepoti kazini kimya kimya katika zile ajira 12000 zilizotangazwa ..
Mpka sshv zile ajira zilikuwa magumashi tu ..
Serikali ya Samia bila connection sasahivi hautoboi hasa watoto wa masikini
From no where mtu huna time nae ananza kukuletea visa visa vya hapa na pale kuna mda unaweza pata hasira hizi kazi za kuajiriwa ni upuuzi.
Yani ukijichaganya uka react tu unaweza timuliwa kazi. Swali langu wakuu kwanini hasa hawa Wanawake wanakua ni sosi ya mashindano kazini? Na nini kifanyike...
Aise wadau salama kabisa.
Aise nimeishiwa pozi jamani. kazini huku kuna kazi aise ni balaa ipo hivi hapa ofisi kwetu mm ni mtu wa tatu kiutawala sasa yupo mkuu wa idara na msaidizi wake halafu nafuata mimi.
Sasa kuna jambo fulani lilifanyika hapa ofisini ikabidi nishirikishwe sasa baada ya...
Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala...
Je, na Sisi 'Team Tanzania Njema' akina GENTAMYCINE tutaanza kurudishwa lini ili tusaidie Tanzania yetu ambayo tunaanza kuiona ikizama kwa mambo mengi japo 'Team Tanzania tupo tupo tu' hawajui lolote na hawalioni hilo?
Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby...
Kuna haya makampuni makubwa yanayomiliki viwanda na biashara nyingine kubwakubwa yanaleta wahindi nchini kufanya kazi, kwanza hatujui kama wanakuja kihalali au la. Na wakifika makazini wanapewa nafasi za juu, na ikitokea umegoma kumsujudia jua kazi hauna.
Serikali ianze kuwafatilia hawa watu...
Kama sio wewe basi utakuwa umewahi kutana na mtu akilalamika dhidi ya watu ambao wana tabia zisizo rafiki na pengine mpaka mtu huyo anatamani kuachana na kazi hiyo ili aepuke kukutana na watu hao , ni kweli wapo watu wana tabia ambazo ni ngumu kuvumilikika kiasi cha kufanya wengine wakose amani...
Habari wanajukwaa,
Naombeni tugusie kuhusu uthibitisho makazini kwa watu wa serikali, imekuwa kama mchezo mtu akiajiriwa anakaa miaka na miaka hapewi uthibitisho wakati sheria inasema mfanyakazi anaweza thibitisha kwanzia mwaka nakuendelea especially huku TAMISEMI.
Habarini,
Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea.
Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa.
Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
Hata salamu sitoi.
Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee.
Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
Habari za muda huu
Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu
1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako amewagiza waajiri kuweka mifumo kwa wafanyakazi wao ya kuwewezesha kufanya mazoezi ikiwemo ‘gym’ ili kuwa na wafanyakazi wenye afya njema.
Waziri huyo amesema moja ya sababu ya kutaka gym ziwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.