Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii.
Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
Kuna bar moja inaitwa Flamingo ipo Salasala DSM katika ya makazi ya watu inapiga mziki mkubwa usiku kucha. Inatuletea usumbufu majirani unakuwa na kelele za bar ujakaa sawa kuna kelele za makanisa ya kiroho katika kuabudu
Naomba Serikali iandae sheria ya sounds proof kwa haya makanisa na kumbi...
Anonymous
Thread
athari za makelele
kampeni za nemc dhidi yamakelele
kelele za baa
makeleleyamakanisa
Bwana ni mwema!
Sina shida na kumkera mtu yeyote
Lakini naomba tuliangalie hili swala Kwa undani wake.
Mimi nimezaliwa katika familia ya kikatoriki kubatizwa, komunyo na hata sacrament ya ndoa pia nimepata Rc.
Kwa miaka ya Hivi karibuni nimekuwa sihudhurii ibada.
Kwa sababu zangu binafsi...
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo lipo hapo karibu na Mnazi mmoja (la mabati) limekuwa nikero.
Ikifika alasiri wanaweka flash...
Makelele ya makanisa kwenye makazi yanakera na kuathiri watu wengi sehemu za mijini, hasa jiji la Dar es Salaam. Aidha makelele hayo yana athari kiafya, kijamii, na hata kiuchumi; kama ilivyo makelele mengine. Na wakati mwingine yana athari zaidi kutokana na kuendelea muda mrefu, bila kuruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.