Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa...