Sikuile naangalia UEFA akaja jamaa na kibaraghashia…
Sasa pale kwenye kibandaumiza kulikuwa na TV mbili zote zinaonesha mechi moja ila zinatofautiana quality na rangi. Moja ilikuwa imepauka nyasi zinaonekana kama za njano na nyingine ilikuwa kama imekoza sana yani nyasi zinaonekana Dark green...