Makete District is one of the six districts of Njombe Region of Tanzania. Its administrative seat is the town of Iwawa. It is bordered to the north and west by the Mbeya Region, to the east by the Njombe District and to the south by the Ludewa District. It is divided into six divisions and 17 wards. Makete District was founded in 1979 with the policy of the Ujamaa. Before, this part of Iringa Region belonged to Njombe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Makete District was 128,520.] The Wakinga people mostly live in Makete District.
Kutokana na kitongoji cha Dombwela kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kukubaliana kujenga ofisi mpya za kitongoji hicho, wananchi wamekubaliana kubadilisha sheria kwa watakaokuwa hawafiki kwenye mikutano ili irahisishe shughuli za ujenzi huo
Katika mkutano wa kitongoji hicho...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani Makete kuacha tabia hiyo kwa kuwa kila chama kipo kwa mujibu wa sheria.
Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo ndani ya mwezi mmoja kufanya ukarabati wa vibanda vya wafanyabiashara wa stendi ya mabasi Makete mjini pamoja na kuifanya ipitike vizuri wakati wa mvua na jua.
Mkuu huyo wa Wilaya ametoa...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Makete mkoani Njombe wamezungumzia uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa pamoja na namna uchaguzi huo ulivyofanyika
Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha pili mkazi wa kijiji cha Ihela wilayani Makete mkoani Njombe ameelezea tukio la ubakaji alilofanyiwa na mzee wa miaka 62; "alisema nisiogope anafanya haraka na kundoka, nikaondoka kwa hasira na kwenda kukaa kwenye kitanda, nlisahau kufunga mlango, alivyoingia...
Zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa limefunguliwa rasmi leo Novemba 27, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi ambapo Mbunge wa Jimbo la Makete, Njombe Mhe. Festo Sanga ni mmoja kati ya wananchi waliotimiza haki yao kikatiba kwa kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Kijijini cha...
Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au kufanya fujo
Rai hiyo imetolewa Novemba 19, 2024 na Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa...
Mwanaume aliyenukuliwa katika kipande kifupi cha video kwa kauli yake tata kuhusu jinsia yake baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi huko Makate, ametoa ufafanuzi.
Eston Chaula amedai kuwa hakuwa na lengo baya na kauli yake bali...
DED MAKETE AWAHAKIKISHIA WAKULIMA WA NGANO SOKO LA UHAKIKA
Halmashauri ya Wilaya ya Makete Julai 23, 2024, imesafirisha Tani 32, za Ngano, ikiwa ni awamu ya Pili ya Ununuzi wa Ngano baada ya hapo awali kusafirisha kiasi cha Tani 30, ambazo zote zimenunuliwa na Kampuni ya Bakhresa iliyopo...
MRADI WA UMEME WAKAMILIKA
Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu uliokamilika.
Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Ijangala, kijiji cha...
Watuhumiwa katika kesi hiyo ni William M. Makufwe ambaye kwasasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Chrostopher M. Nyaki aliyekuwa Mweka Hazina wa Halmashauri ya Rungwe, Mbeya.
Katika hati ya Mashtaka, watuhumiwa hao pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako.
Jana wakati mjadala unaendelea kuhusu gharama za kuunganisha umeme, ulipost kwenye akaunti yako ya Instagram ukiituhumu...
Waziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe na kufika kwenye mradi wa kufua umeme kwa Njia ya Maji wa Rumakali (MW 222) wenye thamani ya Shilingi 1.4 Trilioni uliosanifiwa tangu mwaka 1998.
Mbele ya Waziri Makamba, Wananchi wamesema walishakata tamaa ya...
Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
Habari wanajukwaa,
Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.