makinda

Anne Makinda
Anne Semamba Makinda (born 26 July 1949) is a Tanzanian politician and the first female Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office from 2010 to 2015.

She was the last Chairman and the first President of UNICEF at the international level from 1993 to 1994.

View More On Wikipedia.org
  1. Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

    Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza? Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
  2. Huyu sio Anna Makinda

    ANAANDIKA DADA CHEMI CHE MPONDA AKIWA MAREKANI... "Hawa ni wazazi wangu wakiwa na marehemu Bibi Titi Mohamed, takriban mwaka 1965. Bibi Titi alikuwa miongoni mwa wanawake mashuhuri katika Harakati za Uhuru wa Tanganyika. "Kuna picha inayozunguka mitandaoni ambayo i baba yangu amekatwa na...
  3. Tulipokuwa makinda wala tusingekubaliana na wazo la kumnunulia gari awala lakini kumbe safari ya mafanikio ailandani na ideology ya njaa.

    Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class. Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner. Kama...
  4. Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  5. Anna Makinda afungua mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022

    Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na Kuhudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, Sekretarieti ya Mkoa, Kamati ya Sensa...
  6. D

    Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

    Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa. Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi. Pia...
  7. Anne Makinda awataka vijana kujitafutia ajira

    Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi. Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa...
  8. Makinda: Matokeo ya SENSA yatatangazwa mwisho wa mwezi Oktoba 2022

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Spika mstaafu Anne Makinda amesema matokeo ya sensa hiyo iliyofanyika Agosti 23 yatatangazwa mwisho wa mwezi huu na matokeo yatabandikwa kwenye mbao za matangazo. Makinda ameyasema hayo leo Oktoba 12 na kusema hatua zote za uchakataji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…