makinika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Makinika, aliyetoa kauli kuwa " wachawi wote walishakufa" alilenga kutupumbaza!

    Hellow!! Ni UKWELI kuwa wachawi na wasio wachawi hufa maana hiyo ni Amri Toka Kwa muumba kuwa Kila mwanadamu shart arudi mavumbini. Sasa juzi hapa Mzee mmoja mtani wangu katoa kauli kwenye umati kuwa, Wachawi "WOTE" walishakufa, asee kuweni makini ndugu wananchi wenzangu, hivi Kweli huko...
  2. Hackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA

    Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA Kadi za bank Passwords nk Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...
  3. R

    Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    Salaam, Shalom!! UTANGULIZI. Ndani ya nyumba zetu, Pana mijusi yenye RANGI nyeupe tofauti na mijusi wa nje. Na KAZI ya mijusi KIMWILI Huwa ni kutafuta na kula WADUDU watambaao na warukao nk nk. MADA: MAKINIKA NA MIJUSI/ UPANDE WA PILI WA MIJUSI YA NDANI YA NYUMBA. Kuna mjusi alikuwa akiishi...
  4. Ma binti wa siku hizi hawana adabu kabisa ewe mzazi makinika nao

    '....unanitaka?! Haya basi njoo uni...kama unamuonea wivu Jofrey.' Hapo juu ni maneno ya binti mtoto wa jirani yangu aliyemfumaniwa na kijana chumbani kwake mda huu akimjibu baba yake mzazi. Mzee wa watu ni msabato na alirejea nyumbani kutoka kanisani kufuata kitabu cha dini alichokisahau...
  5. Tahadhari: Utapeli ndani ya benki

    Wasalaam Wakuu. Ijapokuwa uzi kama huu ulishetwa humu juu ya utapeli ndani ya benki, lakini haukuwa umeshiba. Nikaona niwaeleze kwa undani ili tumakinike. Kuna wale wanaopenda kujua kama nimetapeliwa ama la, ukweli ni kuwa sijatapeliwa. Ila walikuwa wanajaribu kunitapeli. Leo asubuhi nilienda...
  6. Makinika na masharti ya waganga wa kienyeji

    Kisa cha wanandoa walioachanishwa kisheria wiki hii baada ya kuishi pamoja kwa miaka 21 kimenitafakarisha sana... Tatizo sio kuachana bali ni sababu za kuachana Mwanaume hakuwa na korodani (lugha isiyovaa nguo korodani ni pumbu) hizi ndio kiwanda cha manii zinazoleta malighafi ya kuumba watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…