Sijawahi ona RC ambae muda wote anabishana na kuwa kwenye migogoro na Wawakilishi wa Wananchi badala ya kutatua Kero za watu.Pia soma Pre GE2025 - Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno
Ikiwezekana Rais amuondoe huyo RC huko Arusha Kwa...