Wanaukumbi.
All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole.
The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
Wakuu
Nimeshangazwa na namna MC wa msiba aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrance Mafuru alivyoomba waombolezaji wampigie Rais Samia makofi baada ya kutoa salamu zake. Katika mazingira ya msiba, ambapo wengi huwa wamezama katika huzuni na unyenyekevu, ombi hilo lilionekana...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 64 kulipa faini ya Sh40,000 kila mmoja au kwenda jela miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za uhamiaji.
Walihukumiwa adhabu hiyo katika kesi ya jinai namba 31302 /2024 ni...
Leo nilikuwa kawe kwenye msiba wa Askofu Jonathan kwanza nilikuwa nahuzuni kweli moyoni.
Mpaka pale alipo panda Askofu mkuu wa makanisa ya Calvary akatoa maneno ya kuchangamsha kusahaulisha msiba kidogo moyo ukalainika huzuni ikapungua
Katika kuendelea endelea pale akatoa maneno mazuri...
Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila mara tu yaani hauipiti siku bila mimi kupigwa na mke wangu kosa sometimes silijui kwahiyo mie nabaki...
Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea?
Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
Kwa Mechi zangu Tatu tu nilizotulia na Kumtizama Kiufundi Guede nimelazimika kuuweka pembeni Usimba wangu na Kubakia Mwanamichezo na Mchambuzi kwa kusema kuwa hakika Yanga SC wamepata Mshambuliaji wa uhakika ambaye Natabiri atakuja kuwasaidia mno.
Receiving yake, Positioning yake, Anticipation...
Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote wanauliza nini mpango wa serikali baada ya barabara kuharibiwa na mvua za El Nino.
Yaani ni kama huko...
Diwani wa Kata ya Ilenda, Halmashauri ya Buchosa, Sengerema mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mneke Mauna anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, akituhumiwa kumshambulia na kumpiga makofi Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Lazaro Lubalika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .
Yaani Mhagama roho...
Kwa muda mrefu Nilikuwa nasikia kwamba Maafisa Uhamiaji wengi ni wababaishaji, Leo nimeshuhudia kwa macho.
Nilijaza fomu la maombi ya passport online Nikalipia kisha nika download na kuwasilisha Ofisi za uhamiaji mkoa.
Afisa Aliyenipokea akaniuliza wewe ni kabila gani? Nikamuambia Maasai...
Mhe. Philip Mpango waliotumia mitandao vibaya wasamehe kwani wao waliamini kwenye kile walichosikia. Lakini pia yawezekana kabisa waliotumia mitandao ya kijamii vibaya wamefanya kazi ya Mungu kushinda ila za shetani.
Nitakupa mfano ambao unaweza usiuelewe sana ila una umuhimu; MO alipotekwa na...
Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais...
Evariste Touadera, mtoto wa Rais wa Afrika ya Kati Faustin-Archangel Touadera, ameonekana kwenye video (hapo chini) akiwashambulia maafisa wa Urusi katika kituo cha kurekebisha tabia huko Kislodovsk, Moscow.
https://dai.ly/x8o0qen
Evariste alilazwa hivi majuzi katika kituo cha kurekebisha...
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa!
Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.