Ukitizama unaweza kucheka lakini ni jambo la kufikiria sana. Yani Makomando wameshindwa kutua sehemu husika wote wametua nje ya uwanja.
Hii inaonyesha ishara gani kwao?
=============
Nchini Burundi, maonyesho ya kuruka kwa parachuti yaliharibika baada ya Makomando Maalum kutua kwenye vichaka na...