makomando wa yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Sisi Makomandoo tuliwazuia Simba uwanjani sababu ya usalama wao. Walikuwa hawajatoa taarifa, na uwanja haujaandaliwa. Wangefanyaje mazoezi gizani?"

    Mnatulaumu bure sisi Makomandoo wa Yanga. Hakukuwa na lojiki yeyote kuwaruhusu Simba waingie uwanjani wakafanye mazoezi gizani. Wao walikuwa hawajatoa taarifa kwa mamlaka ya uwanja ili uwanja uandaliwe na taa ziwashwe, na generator ya dharula iwe tayari ikiwa umeme utakatika. Na wala...
Back
Top Bottom