Mnatulaumu bure sisi Makomandoo wa Yanga. Hakukuwa na lojiki yeyote kuwaruhusu Simba waingie uwanjani wakafanye mazoezi gizani. Wao walikuwa hawajatoa taarifa kwa mamlaka ya uwanja ili uwanja uandaliwe na taa ziwashwe, na generator ya dharula iwe tayari ikiwa umeme utakatika. Na wala...