Wadau hamjamboni nyote?
Jenerali Esmail Qaani Kamanda Mkuu kikosi maalumu cha Jeshi la Iran cha Quds amepotea na hajulikani alipo
Mara ya mwisho alitembelea Lebanon mara tu baada ya kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Hassan nasrallah
Tokea wakati huo mawasiliano naye yamekatika!
Taarifa...
Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wamefanya shambulizi la kushtukiza na kufanikiwa kumuokoa Mateka mmoja ndani ya handaki Leo asubuhi
Kazi hiyo maalumu ilifanywa na kikosi maalumu cha makomandoo wenye weledi mkubwa almaarufu Navy’s elite Shayetet 13 unit.
Hostage Qaid Farhan al-Qadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.