Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wamefanya shambulizi la kushtukiza na kufanikiwa kumuokoa Mateka mmoja ndani ya handaki Leo asubuhi
Kazi hiyo maalumu ilifanywa na kikosi maalumu cha makomandoo wenye weledi mkubwa almaarufu Navy’s elite Shayetet 13 unit.
Hostage Qaid Farhan al-Qadi...