Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea 2014. Habari zaidi…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilimwita balozi wa Marekani Jumatatu kupinga...