Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana...
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya Mazoezi ya Yoga.
Pia, Soma
Makonda aingia Mtaani usiku Kuuza Uji shamrashamra kuelekea siku ya...
Baadhi ya wananchi vijana wameungana na madiwani wa Arusha Mjini kumtaka Paul Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuchukua hatua ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha Mjini
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi.
Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
Siku hizi analala anaamkia Dar.
Sote tunajua kwamba Lema alikuwa mwanasiasa machachari wa Arusha kabla ya ujio wa Makonda.
Kwa bahati nzuri hivi sasa team Lissu kushinda amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Inasemekana ndio mshauri mkuu wa Lissu ndani ya chama.
Swali langu. Jee...
Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki.
Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku.
Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea?
Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na kuongoza Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akionesha...
Mimi sio mshabiki wa Makonda, kutokana na namna ninavyomjua. Tabia zake binafsi na hulka zake ndo chanzo kikuu cha mimi kutokuwa shabiki wake na kila siku kumpinga kwenye masuala mengi sana.
Katika kumfuatilia kwangu tangu akiwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, then Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Mimi ni miongoni mwa watu ambao walimchukia sana makonda hasa enzi za mwenda zake , na hii ni kutokana na namna alivyo kuwa akiwatenda baadhi ya watu kwa jeuri na kibri kwa wakati huo.
Lakini sasa naamini kuna mambo aliyo yatenda wakati huo amesha yaombea toba kwa mungu ingawa sijajua kama...
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.
Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile nivae tu au mimi siruhusiwi?
Je, Makonda kuvaa vile ana lengo gani au anataka kufikisha ujumbe gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.