Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...