CCM wapo katika nyakati ngumu katika kupitisha mgombea wa Urais ambaye anakubalika na Wananchi kwa upande mmoja na watawala kwa upande mwingine. Tathmini inaonesha kuwa wagombea ni wawili tu Yaani anayekubalika na watawala ambao ni Membe, Sitta Mwandosya, Sumaye, Kigwangala, Mwigulu,Wasira...