Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine.
Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha...
Kama mtanzania Kila Kona ninayopita baada ya mvua kunyesha nakuta mlundikano Wa MAKOPO ya vinywaji mbalimbali kutoka Kwenye makampuni makubwa hapa nchini.
Tukitambua kuwa hizo ni Moja ya taka ngumu ambazo haziharibiki kabisa.
Nina mapendekezo mengi namna ya kufanya MAKOPO haya yaweze kuisha...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko Kubwa la kila aina za pombe ambazo huwekwa katika vichupa na kufungwa vizuri na kisha kusambazwa madukani na katika bar ndogo ndogo za mtaani.
Katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hali ni mbaya kutokana na ongezeko la kila siku la aina za pombe na...
Hii ni ishara mbaya sana.
siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi.
Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa.
leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100
Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani?
Kuna Watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku.
Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia...
Vijana wenye hasira Nchini Ghana katika eneo la Suame, ikidaiwa pia wamempiga makofu, kumtukana pamoja na kumwagia maji Mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, wakidai amekuwa na ahadi za uwongo kwa kutotimiza ahadi zake za kurekebisha miundombinu.
Osei Kyei Mensah-Bonsu ni Mbunge wa Chama cha New...
kwema Wakuu!
Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi.
Leo sitaki kupotezea muda watu.
Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku.
Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati...
Ukiachwa achika
Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali...
Habarinj wanajamvi,
Nimekaa nakuwaza nifanye biashara gani, baada ya kupata baadhi ya aina ya biashara ambazo naweza zifanya nikiwa hapa moja ni ya Kununua na Kuuza Plastiki ama Makopo yaliyotumika.
Faida ya kwanza nitatoa ajira, pili nitashiriki katika kuweka mji safi. Ila sina ufahamj wowote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.