makopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi ili uwe muokota makopo lazima kichwani ziwe zimepungua?

    Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
  2. K

    Kwanini wafanyabiashara wa kupima mkaa karibu wote vipimo vyao vya makopo ya bati yamekandamizwa katikati?

    Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
  3. G

    Kula kula ukiendekeza inakua kama bangi, hii kitu vimenipa uraibu mbaya mno, nina collection ya makopo yake ndani

    Hii kitu ina addction moja mbaya sana unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine. Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha...
  4. Makopo ya taka ngumu yapandishiwe thamani

    Kama mtanzania Kila Kona ninayopita baada ya mvua kunyesha nakuta mlundikano Wa MAKOPO ya vinywaji mbalimbali kutoka Kwenye makampuni makubwa hapa nchini. Tukitambua kuwa hizo ni Moja ya taka ngumu ambazo haziharibiki kabisa. Nina mapendekezo mengi namna ya kufanya MAKOPO haya yaweze kuisha...
  5. Arusha na Kilimanjaro kuna ongezeko kubwa la pombe za makopo zisizokuwa na Viwango

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko Kubwa la kila aina za pombe ambazo huwekwa katika vichupa na kufungwa vizuri na kisha kusambazwa madukani na katika bar ndogo ndogo za mtaani. Katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro hali ni mbaya kutokana na ongezeko la kila siku la aina za pombe na...
  6. Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

    Hii ni ishara mbaya sana. siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi. Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa. leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100 Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
  7. Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

    Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani? Kuna Watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
  8. Kuongezeka kwa vijana waokota makopo

    Hali sio shwari wadau kuna jambo limeibuka vijana wengi wameji ingiza kwenye hii shughuli ya kuokota makopo na kwenda kupima ili kupata mkate wa kila siku. Miaka ya nyuma tulizoea kuona vichaa na wavuta madawa "mateja" ndio ilikuwa kazi yao hii. Leo hii nimeshangaa kuona hadi wasomi wameingia...
  9. Ghana: Mbunge apondwa na makopo, akimbizwa na wananchi kwa ahadi za uwongo

    Vijana wenye hasira Nchini Ghana katika eneo la Suame, ikidaiwa pia wamempiga makofu, kumtukana pamoja na kumwagia maji Mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, wakidai amekuwa na ahadi za uwongo kwa kutotimiza ahadi zake za kurekebisha miundombinu. Osei Kyei Mensah-Bonsu ni Mbunge wa Chama cha New...
  10. Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

    kwema Wakuu! Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi. Leo sitaki kupotezea muda watu. Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku. Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati...
  11. Haji Manara asaidiwe kabla ya kuanza kuokota makopo na chupi kichwani

    Ukiachwa achika Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali...
  12. MUONGOZO:Biashara ya Plastiki (Makopo)

    Habarinj wanajamvi, Nimekaa nakuwaza nifanye biashara gani, baada ya kupata baadhi ya aina ya biashara ambazo naweza zifanya nikiwa hapa moja ni ya Kununua na Kuuza Plastiki ama Makopo yaliyotumika. Faida ya kwanza nitatoa ajira, pili nitashiriki katika kuweka mji safi. Ila sina ufahamj wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…