Wadau hamjamboni nyote?
Dokezo
10.01.2025
Kutoka: Mume
Kwenda: Mke
CC: Wasimamizi ndoa
YAH: TUHUMA DHIDI YAKO
Tafadhali husika na somo hapo juu
Barua hii inahusu tuhuma dhidi yako kwa kufanya matendo yasiyokubalika kwa wanandoa kama ifuatavyo:
1) Kutojibu meseji za mumeo kwa wakati au...