Uturuki, Qatar, Indonesia na Pakistan zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi yanayojulikana kama Badr, yenye lengo la kuimarisha uwezo wa kijeshi na kukuza ushirikiano wa kimkakati kati ya nchi hizo.
Wizara ya Ulinzi ya Uturuki imesema Jumatano kuwa makubaliano hayo yamesainiwa mjini...