Kiufupi hawa wapangaji wengine ni wajinga kupitiliza wasio heshimu imani za watu.
Nipo mkoani huko mjini kwenu dasilamu nimeacha kimjengo changu na kina wapangaji.
Masharti yangu ni kuwa mpangaji awe ana familia yani awe kama ni mume ameoa au mke awe ameolewa hivyo au kama hajaolewa au kuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.