"Nitoe taarifa kwamba kuna mradi wa makumbusho ya Marais, mradi huu ni mradi no 5221 eneo liko Mtumba na tumetenga bilioni 34 kwa ajili ya mradi huu na mwaka huu tumeanza kutenga bajeti ndogo kama bilioni 1 na eneo lile lina ukubwa wa Ekari 50," - Rais @SuluhuSamia. #UzinduziKitabuChaSokoine...
Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 50 na unalenga kuhifadhi kumbukumbu za viongozi wakuu wa nchi pamoja na historia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.