makundi ya damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. john issa

    Mwanamke akiwa na kundi A- na mwanaume kundi A+, baada ya muda gani anatakiwa achome sindano ya kumkinga mtoto na kinga mwili za mama?

    Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa kinavyojieleza wataalamu wa afya, ushauri na majibu yenu tafadhari, na gharama zake zikoje? Wasalaam.
Back
Top Bottom