makusanyo tra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Dar yakusanya Tsh. Trilioni 13 kati ya 16.5 zilizokusanywa na TRA. Ni aibu kwa Tanzania kutegemea 80% ya Mapato kutoka Mkoa mmoja

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia ahudhuria hafla ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi. Atoa rai kwa wafanyabiashara kulipa kodi na kuahidi maboresho kwenye tuzo hizo

    Wakuu, Rais Samia ashiriki halfa ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi wa Bora kwa Mwaka 2023/2024 leo Januari 23, 2025. https://www.youtube.com/live/TG_FM-Bmau4?si=bv6zVfSuMokVe-uk RAIS SAMIA Akizungumza leo katika hafla ya utoaji wa tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kuanzia mwaka ujao, tuzo hizo...
  3. ChoiceVariable

    Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema Tanzania yenye idadi ya watu zaidi ya milioni 60 lakini walipa kodi hawazidi watu milioni 2 jambo ambalo linasababisha watu hao wachache wanaolipa kodi kulazimika kubeba mzigo mkubwa na hivyo wakati mwingine kusababisha...
  4. P

    Mgogoro kati ya Wafanyabiashara na TRA, je data za ripoti za makusanyo kuvuka lengo zinapikwa?

    Vita kati ya kina lazaro (aka TRA) na wafanyabiashara imefika pabaya. Leo tumeshihudia maduka yakiwa yamefungwa palę Kariakoo. Huenda kweli kuna wafanyabiashara ambao wanakwepa ushuru, ila sasa kinachoonekana machoni pa wafanyabiashara ni kwamba wanaonewa. Kamata-kamata ni nyingi mno. Sasa...
Back
Top Bottom