Kutokana na kwamba mwanangu Marquise hataka kuchukua biashara niliyompa yenye thamani ya almost $5 milioni, nimeamua kuacha kumpa $6700 ya matunzo ya kila mwezi. Nafikiri ni wakati mitaa kumfundisha maisha.”
Hivi sasa sina tena uhusiano mazuri na mwanangu Marquise.
Ni hali ya kusikitisha...
Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
UTANGULIZI
afya bora ya mtoto inaanzia pale mama anapojigundua kuwa ni mjamzito, kipindi cha miezi tisa (9) ya uleaji wa mtoto ,kipindi cha kujifungua na kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya ulezi , hapi ndipo afya bora ya mtoto inaanzia na kuimarika ili kujenga taifa lenye watu bora wenye akili...
Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo.
Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
Wazazi, Walezi na Jamii wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utoaji wa malezi bora na elimu ya makuzi kwa watoto ili kuwajengea uwezo wa kujitambua, kujithamini na kujiepusha na uhalifu ikiwemo ukatili wa kijinsia.
Rai hiyo imetolewa Desemba 27, 2023 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
Habari za Jumapili, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Siku ya leo naomba nijadili nanyi au kiwasogezea mada hii "Makuzi ya watoto yanaharibiwa na Teknolojia kama haitasimamiwa na wazazi!"
Awali ya yote nipende kuanza kwa kusema, maendeleo ya Sayansi na Teknolojia ya sasa yanafanya wananchi...
Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika?
Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
Katika maisha yetu ya kawaida hasa sisi watu wa kipato cha chini, nasema hivyo kwa kuwa nimetokea kwene mazingira hayo, japokuwa najua hawa wale wa hadhi ya juu nao wanaweza kuwa wanahusika.
Kibongobongo maisha kwenye familia nyingi wazazi wengi na wale wamekuwa na tabia ya kutengeneza...
Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae
Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀
Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto.
Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
Damu ni nzito kuliko maji leo nimeumia sana.
Kuna Kaka yangu aliachana na mkewe kitambo sana mtoto akiwa na 2 yrs, yule Mama akamuacha mtoto. Mtoto kalelewa na baba yake since then Wala bro hajaoa tena masikini sijui alipigwa tukio gani.
Changamoto binti amekuwa ana 12 yrs sasa, nyumbani kwao...
Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupunguza ukatili na unyanyasaji wa watoto.
Kwa...
Michezo humfunza mtoto ubunifu, kujenga ushirikiano na wenzake, mawasiliano nk. Hivi vyote ni muhimu katka maisha ya baadae ya mtoto. Katika michezo watoto wanapata nafasi ya kupanga sheria na taratibu ili wote washiriki. Hijifunza kushirikiana katika vifaa vyao vya michezo.
Watoto...
Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi?
Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.