KITABU CHA ENOCH KINAWATAJA MALAIKA 200 WALIOASI AMBAO NDÎO WALIIBA WALIIBA SIRI NA TEKNOLOJIA ZA MBINGUNI KISHA WAKAMFUNDISHA BINADAMU
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Wakristo na waumini wa Dini ya kiyahudi jina Enock siô geni Kwao. NI Moja ya binadamu ambao hawakuwahi kupatwa na umauti...