Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu wamepokea taarifa wataiwasilisha sehemu husika inaishia hapo, ukipiga tena wanakuuliza taarifa mpya kabisa na wanasema ndio taarifa ya kupokea, ni kama ukimaliza kuongea nao hakuna chochote wanachofanya...