Ugonjwa wa Malaria kwa wanawake wanajawazito huleta athari kubwa za kudumaza ukuaji wa mtoto tumboni au kuufanya ujauzito husika uharibike.
Ili kuondoa athari hizi, Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka utaratibu wa wanawake wote kupata dozi tatu za dawa ya SP (sulphadoxine+pyrimethamine )...