02 December 2022
Exclusive Interview With Mama Cecilia Tamanda Kadzamira, Former First Hostess of Malawi
https://m.youtube.com/watch?v=4zOUbpK945o
Cecilia Tamanda Kadzamira, GCVO (amezaliwa 25 Juni 1938) mtu wa karibu kabisa wa aliyekuwa rais wa kwanza wa taifa huru la Malawi mheshimiwa Rais...
Popular musician Patience Namadingo invoked biblical scripture on Thursday, challenging President Lazarus Chakwera to "show and not explain" his accomplishments during a presidential youth dialogue at Sanjika Palace, writes Winston Mwale.
"In the Bible, in the book of Luke chapter seven, verse...
Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu...
Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi.
Ukweli ni kwamba ramani zote za Google (map & earth) hazioneshi hivyo.
Mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Malawi na...
List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha
Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako
Piga/WhatsApp: +255-657-685-268
Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Salaam Wakuu,
Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao.
"Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
Patricia Kaliati (57) Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Upinzani na Katibu Mkuu wa chama cha UTM, amekamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Rais Lazarus Chakwera, huku Wanasiasa wengine wa upinzani wakidai kuwa mashtaka hayo yana msukumo wa Kisiasa.
Kaliati, alifikishwa...
Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi.
George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya, amesema "Matarajio yetu tungepumua kwa muda mrefu zaidi, haswa ikizingatiwa mwaka 2022...
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.
Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso waziri mwenyeji wa umoja wa nchi tatu zinazonufaika na Mto Ruvuma Tanzania, Malawi na Mozambique ameongeza Mkutano na Hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano ya Usimamizi na Uendelezaji wa Rasilimali za maji za Mto Ruvuma kwa nchi za Tanzania, Malawi na Msumbiji...
Sio siri hili jambo linaniumiza sana moyo wangu sijui kuna ushirikina gani kwenye suala la sukari hapa nchini kwetu.
Maana licha ya kuwa tuko jirani na bahari kuu tuna ardhi nzuri na tuna kila fursa ya kunufaika kuliko majirani zetu lakini bado tunapata mateso ya kununua sukari kwa gharama...
Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji
Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa
Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni...
Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe.
NB: Majirani tukafariji ndugu zetu MALAWI. Udugu kufaana si kufanana
Shughuli za utafutaji na uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyotoweka iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika alisema.
Chilima, 51, alikuwa ndani ya ndege ya kijeshi na wengine tisa walioondoka Lilongwe, mji mkuu, saa 9.17...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na picha ya ndege iliyopata ajali kwenye mtandao wa X ikidai ni ndege iiyopotea iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Rais wa Malawi.
Je ni kweli picha na taarifa hiyo ni sahihi?
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo Chakwera alitaka kwenda holiday Bahamas?
NB: Wanyasa punguzeni kujitutumua
Jana, habari zilisambaa kwamba ndege ya Makamu Rais wa Malawi Saulos Chilima ilipotea wakati wa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu (Lilongwe) kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mzuzu. Wakati ndege ya Makamu Rais haijapatikana wala kurejeshwa hadi sasa, uvumi tayari umeenea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.