malawi vice president missing

On 10 June 2024, a Malawi Defense Force aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima along with nine other passengers disappeared from radar, prompting a search and rescue operation.

View More On Wikipedia.org
  1. OleWako

    Ndege ya Mkandarasi wa Jeshi la Marekani ilifanya nini karibu na ndege ya Makamu Rais wa Malawi Chilima kabla tu haijapotea?

    Jana, habari zilisambaa kwamba ndege ya Makamu Rais wa Malawi Saulos Chilima ilipotea wakati wa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu (Lilongwe) kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mzuzu. Wakati ndege ya Makamu Rais haijapatikana wala kurejeshwa hadi sasa, uvumi tayari umeenea...
  2. GENTAMYCINE

    TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege

    Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa Chikangawa. Ndege hiyo ilioondoka Lilongwe saa 3:17 asubuhi jana Juni 10, 2024 na ilipangwa kutua...
Back
Top Bottom